Huondoa magonjwa ya asubuhi,Tanagawizi licha ya kuwa ni tiba ya magonjwa kama kikohozi na mafuta mwilini, tangawizi pia husaidia kupunguza magonjwa ya asubuhi kama uchovu na mninginio, kwa akina mama hasa wajawazito tangawizi huwapunguzia homa za asubuhi pindi wanapoamka , pia hutumika kama kichocheo cha utulivu.