Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I miss you sana.

Umefanya hata nitembeapo sehemu tulizokuwa tunaenda pamoja nipishanapo na watu mwili kushtuka nikumbukapo marashi yako mazuri pimbi.

All in all nimekuhamu zaidi maneno si yote yanaweza kueleza yaliyomo ndani ya moyo huu.

Popote ulipo tafadhali nitafute maana nilikutafuta kila mahali sikukuona.
Nipo hapa limbi wangu🤗🤗
 
Back
Top Bottom