mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
kweli kuna mchezaji wa bongo aliondoka kizembe kizembe kwa huduma mbovu uwanjan. Huyu eriksen mwamba mwenzie alimuwahi kwa kumpa huduma ya kwanza kabla wahudumu hawajafika kumpa tiba zaidiKwa kilichotokea Jana ingekuwa bongo jamaa ange Rip
Binti mpole miss u