Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Marahaba aisee. Hujambo? Za kupotea? Naona umerudi kivingine kabisa...makopakopa kama yote yaani. Nakutakia kila la heri shem ila kama ni huyo pimbi wako wa miaka na miaka on and off mtaachana tu...and this time for good![emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamoo shem
hawa jamaa hawana unafiki wa leo barakoa kesho hakuna safi kabisaMsakata soka wa Liverpool Sadio Mane akiwa kwenye kikao na Rais wa Senegal Mecky Sall, kuhusu ujenzi wa Hospitali kwenye mkoa wa Bambali unaofadhiliwa na mchezaji huyoView attachment 1817447View attachment 1817455
Mjinga Sana yule tunampenda Sana mama yetu SSHmiss u sana our jumong(kuna kichaa twitter alitaka kutuharibia hili jina)