Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Yupo kwenye likitabu la methali ma manahaucocchanel
IronChuma
Mimi nipo nawaona. Uzi huu sometimes inabidi kuwa ngangari. Vinginevyo kazi hazitafanyika. Jakitoo yeye tangu Ijumaa ni kudeka tu.Shimba na jakitoo siwaoni bado wamelala
WoodMbao
SouthKusini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] changamka basicarbamazepine hivi hizi parable mbona kama ananiandikia mimi.
NorthKaskazini
Kachanganyikiwa baada ya kupewa vyake na cocochanelAleyn
Tupo shemeji. Kwema huko? Mdogo wangu anasemaje?SHIMBA na jakitoo
Yupo anatunga sheriamyoyambendi
Mbona nayatikisa yanatikisika kwa urahisi tu, hatapona mtu kuanzia sasa.Mazizi ya sasa naona yapo na ulinzi mkali sana.
Sasa inabidi mbinu mpya kabisa kuvunja haya mazizi
Brother anakuja hivi karibuniThe choosen one
Uyhstydq wapi ukhuty1999
Kudeka raha bhana na hasa ukipata wa kukudekeza...mwache adeke si yuko na weweMimi nipo nawaona. Uzi huu sometimes inabidi kuwa ngangari. Vinginevyo kazi hazitafanyika. Jakitoo yeye tangu Ijumaa ni kudeka tu.
Sent from my SM-G928T using JamiiForums mobile app