Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
May glory of God be upon you all
Hahahahahahahahahahahahahaha vituko never end
Am here my loveCole amka
Inaelekea ulikwazika kweli...polecarba siku ile sikuipenda kabisa.
Naona uzi wa kulevya unautumia ipasavyo...Goodmorning mkuu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Najua. Mwanamke anayevaa miwani mwogope mkuu. Mimi nilikuwa nasema hapa mara nyingi jinsi alivyo mrembo, collected, calm and smart lakini mijibaba ikawa inazunguka zunguka tu scared. Na wewe ukawa unapambana kule kwingine. Mpaka nilimwambia personally faragha japo hakunijibu. Mke umepata bro. Kula raha sasa na mtunze kama mboni za macho yako!
Afadhali nilijua ni mimi mwenyeweTuko wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona uzi wa kulevya unautumia ipasavyo...