Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kwa nguvu kweli...on a serious note tunakaribia kwisha maana kama na dawa zishaanza kudunda sijui tunaponaje...
Mahospitalini huko ukilazwa nako kuna super bug naye hasikii antibiotics. Halafu makampuni mengi hawajawekeza kwenye antibiotics kwa sababu eti siyo priority sana. Waliamini madawa yaliyokuwepo kuwa yasingeshindwa. Hela zote za research zinaishia kwenye kansa, kisukari na mambo ya kupunguza uzito. Ni hatari sana....

Nafurahi kwamba umecheka!
 
Mkuu karibu naona Kichwa kichafu na Ho chi Minh wanitafuta sana
 
Yaan bro raha anazonipa Shemeji yako carbamazepine aisee ni kiboko
Najua. Mwanamke anayevaa miwani mwogope mkuu. Mimi nilikuwa nasema hapa mara nyingi jinsi alivyo mrembo, collected, calm and smart lakini mijibaba ikawa inazunguka zunguka tu scared. Na wewe ukawa unapambana kule kwingine. Mpaka nilimwambia personally faragha japo hakunijibu. Mke umepata bro. Kula raha sasa na mtunze kama mboni za macho yako!
 
Macho yako babe s,
Rangi yako babe s,
Nakuandikia nikiwa nimekaa kwenye vw yangu ya mwaka 1974.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona hiyo gari uliiuza?
0e1dfedac3167080bc2a277a3871f7ff.jpg
 
Back
Top Bottom