andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mzee wa ikwiriri kagoma kuachia kwa babe S.Naamini atashinda tu,uniq akianza mitihani shuleni atakosa nafasi ya kuonana na babeho chi minh kapata totoz nini maana naona parables
Mzee wa ikwiriri kagoma kuachia kwa babe S.Naamini atashinda tu,uniq akianza mitihani shuleni atakosa nafasi ya kuonana na babeho chi minh kapata totoz nini maana naona parables
KatekwaJamani SHIMBA yuko wapi leo?
Weeeee,nimejifunza kulinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We msogeze nsamaka tu akugeuke uje kulia hapa[emoji23] [emoji23]
Haha. Simu toka enzi watu wana tumia kadi poa...Nimekuona ulivyo litupa begi la madaftari kibarazani baada ya kuiona simu ya mshua kwenye stuli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ichezee tu akiamka una log off
Kama na jakitoo sawaKatekwa
Siteketei...Angel Bernad
Tena ulinde vizur [emoji6] [emoji6]Weeeee,nimejifunza kulinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuwa jasiri kijana hii ndo duniaHo chi minh ana lake anatafuta
Mi na pembejeo hapa hata ukisema nazo tuuze sawa tu ili tukamilize lengo kwa babe S.Hayo macho ya babe s siwezi nikafanya uzembe yakaenda kumilikiwa na mvulana huyo!.niko tayari kuuza hata shamba langu hapa Ikwiriri na kiwanja pale Kibiti
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahaha...Gejo..Nani huyo maana hali ni mbaya maadui wananishambulia toka asubuhi
Kwema mkuu?
Sijawahi kushindwa vita ndogo kama hii!Mzee mwenzangu usiniangushe maana na wewe ukifail basi ujue kambi yetu wote tunaenda kuabika
Hii albam hatariSasa hivi anakaribia kitoa album
Dogo amka upo ndotoniNawatangazia kuwa Ndugu yetu Uniq kwa hiari yake pasipokurubuniwa, kutishwa, kulazimishwa kuanzia sasa kaamua kuacha kumsumbua bibi wa wenyewe babe s,
Anafuta semi zote na kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkwaza wakati wa kutaka kulazimisha uhusiano ambao haukuwepo wala hajawahi kumuona huyo babe s,
Alikuwa na malengo ovu kwa kutaka kumharibia babe s kwa Ho chi mihn wake ampendaye.
Leo tarehe July 8 2017.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app