carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Usiku mwema kwenu nyote
Hahahh wewe ndie unahifadhi magaidiHayo macho ya babe s siwezi nikafanya uzembe yakaenda kumilikiwa na mvulana huyo!.niko tayari kuuza hata shamba langu hapa Ikwiriri na kiwanja pale Kibiti
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ho chi minh..... Kajinyongeeeee sasaKwako tu[emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] andjul leta jibapa hapa[emoji482] [emoji482]Leta mzinga kabisa leo nimshushe mikono[emoji482] [emoji482] [emoji482]
Nilipewa theory inaitwa mchanganyo ili wasijue main gal.Kuchepuka kwako ndo kulikuponza [emoji23] [emoji23]
Hamna mzee mwenzangu
Atakua mchina ndo alitoa siri zako[emoji23] [emoji23]Nilipewa theory inaitwa mchanganyo ili wasijue main gal.
Ila kuna mtu nilimpa ubuyu kuwa main gal wang yule pale.
Alivyo mu attack tu hadi maadui wqkajua kwwli Kichwa Kichafu tumemmaliza.
Single bado zinaendelea mkuu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani kaituma hiyo?? Hivi unampenzi au bado una tengeneza single
Au uo mkonyezo w avatar unawadatisha hawaoni kitufe cha likes
Niko tayari kwa lolote ama kupambana mpaka tone la mwisho kuliko kuona unaitwa mpenzi na vivulana!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
carbamazepine[emoji115] kichwa katingwa sana,kuna haja tukakaa kamati tumsaidie
Vita nishaishinda mapema mbona,
Hhaahahah.[emoji23] [emoji23] [emoji23] we mzee wewe
Mkuu mi nafuata indicators za dadangu. Mi focus yangu ni ng'ombe - kwa yeyote atakayeibuka kidedea...