Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawatangazia kuwa Ndugu yetu Uniq kwa hiari yake pasipokurubuniwa, kutishwa, kulazimishwa kuanzia sasa kaamua kuacha kumsumbua bibi wa wenyewe babe s,
Anafuta semi zote na kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkwaza wakati wa kutaka kulazimisha uhusiano ambao haukuwepo wala hajawahi kumuona huyo babe s,
Alikuwa na malengo ovu kwa kutaka kumharibia babe s kwa Ho chi mihn wake ampendaye.
Leo tarehe July 8 2017.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hongera sana mzee mwenzangu kama umekamilisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom