Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Diego Simeone ndiye mkufunzi tajiri zaidi duniani.

Anapokea €40.5M kila mwaka. Pia ni miongoni mwa wakufunzi wanaopokea fedha nyingi z aidi duniani 2021. Raia huyo wa Argentina amefunza klabu kadhaa lakini amepata ufanisi mkubwa akiifunza Atletico Madrid , kwa kuisaidia kushinda taji la La Liga, Copa del Rey, makombe mawili ya Yuropa, makombe mawili ya UEFA Supercup na kuwa katika nafasi ya pili katika kombe la klabu bingwa Ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…