Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.

20210214_213714.jpg
 
afadhali Mrs DJ balozi Kgothalo ameamka, ashukuriwe bwana maulana
kwa kweli zile ngoma alizokuwa anapiga jina ziliniacha na tafakari nzito sana

nilifikiri mrs barozi hatohamuka tena
kumbe kariamshaa

vile tunavyosherehekea connection za bibi balozi huku tukimuomba radhi kifisadi

Juzi ilibaki kidogo nikutafute tule shawarma Forodhani 🤣🤣
 
Back
Top Bottom