Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ngoja nimtafute muheshimiwa embassy kwenye hii picha ya shawarma
hapo ukifika unachezea englishi nzito na wanavypenda sifa hao jamaa kila unapozidisha kiengereza chako na bei ndio inazidi.

dhis isi shawarma oktopas from konde sea, yu know in zanzibar wi have our tradishional yummy yummy sii food, sooo because you knoo much spiking ingilishi wani peace of shawarma oktopasi wil cost 200000000 dollari.

No deduction and depreciation

1623594344379.png
 
5) Habari njema kwa wanaume, tunda hili linawafanya kua vizuri kitandani.
Titkiti maji pia huitwa Viagra ya asili kwa sababu inasifa ya kuongeza nguvu za kiume kama vile dawa zinavyofanya. Uwepo wa kemikali ya cirtrulline kwenye tikiti makji hubadilishwa na kua Argnine ambayo husaidia kutengeneza nitric oxide ambayo husaidia mtiririko wa damu na kuacha mishipa ya damu ikiwa mipana na hivyo kuzuia kupungua kwa nguvu za kiume.
Yaani raha ya tikiti ulile masaa mawili kabla ya mpambano, lililiwe kipande kikubwa hadi ukienda haja ndogo kuwe na harufu ya tikiti... Aisee.
Sema hata uhemaji unapungua kabisa japo fenesi linakuwa la moto sana. Usipo kuwa na tahadhari ya tumafuta unaweza kula konokono mkavu.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom