Kula mbogamboga na matunda kwa wingi pia ni njia bora ya kupunguza uwezekano wa kupata mafua kutokana na kupata vitamin C na madini ya zinki kwa wingi ambayo husaidia kinga ya mwili kukabiliana na virusi.
Nchini Pakistan, moja wapo ya maeneo hayo ni duka linalouza nguo za ndani za wanawake, ambako kuna mchanganyiko wa desturi zinazochulia hilo kuwa mwiko na pia wanawake wenyewe hawako tayari kuchukua nyadhifa za juu katika makampuni hayo kuhakikisha wanajihisi vizuri.
Miezi 15 iliyopita Mark Moore alijipata amezuiwa na wanaume wawili katika lango la kuingia kwenye duka lililokuwa limezungushiwa vioo vilivyopakwa rangi nyeusi mjini Islamabad nchini Pakistan
Lakini ukweli ni kwamba mfanyabiashra huyo wa Leicester alikuwa akifanya utafiti ambao ulimpa matumaini kwamba ungemsaidia kukamilisha dhamira yake ya kuanzisha biashara ya kuuza nguo za ndani za ubora wa juu, kwa guarama nafuu na zenye kufanya wanunuaji kujisikia vizuri yaani wanawake wa Pakistan.
Cha msingi kabisa, hili linaashiria kuwa wanaume na wanawake wana mawazo tofauti linapokuja suala la nguo za ndani. Na kwa wanaume, suala hili ni kama lina uhusiano na "hisia za mapenzi na kumfanya mtu kuvutia", Moore anaelezea
Wanazungumza na kufanya mazungumzo ya lesi na kitambaa angavu.. wakati ambapo kwa wanawake ni kitu ambacho wakivaa watajihisi vizuri na pia kuwa na bidhaa ambayo wanaweza kuitegemea."
Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, sijawahi kupata chupi au sidiria zaizi yangu yenye umbo ninalotaka," Hira Inam, 27, amezungumza na BBC akiwa nje ya soko la Anarkali mjini Lahore. "Mara nyingi kitambaa chake huwa sio kizuri. Zinawasha sana na mara ninapopata josho, napata harara kuzunguka chuchu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.