Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, sijawahi kupata chupi au sidiria zaizi yangu yenye umbo ninalotaka," Hira Inam, 27, amezungumza na BBC akiwa nje ya soko la Anarkali mjini Lahore. "Mara nyingi kitambaa chake huwa sio kizuri. Zinawasha sana na mara ninapopata josho, napata harara kuzunguka chuchu