Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimetumia muda mwingi, pesa na nguvu kubwa kutafuta sidiria inayonitosha vizuri," mwanamke mwingine amesema, ingawa hakutaka kutajwa jina lake. "Lakini sijawahi kupata. Chuma kilichopo kwenye chuchu ndio cha kwanza kuanza kutoka. Na inaweza kudhuru ngozi yako ikiwa mtu hayuko makini."
 
Kwa hiyo hitaji la kupata nguo za ndani zenye ubora, za gharama ya chini bila shaka liko wazi laki bado biasha ya nguo za ndani ya Bwana Moore anazozitengeneza katika kiwanda chake kilichopo Pakistan hazina soko la haraka
 
Lakini baada ya kuingia enzi ya kidijitali, majarida hayo yamekosa soko. Wakati huo huo kampeni katika mitandao ya kijamii - pengine ndio njia ambayo huenda ikawa nzuri zaidi - lakini pia kuna uwezekano mkubwa matangazo hayo yakachukuliwa kuwa "matusi".
 
Bwana Moore alisema kuwa ushauri aliopewa ni kushirikiana na makampuni makubwa na hilo lina maanisha kwamba kuelezea dhana ya kuwa bidhaa hizo ni salama, gharama ya chini wala sio kusema zinapendeza hasa katika maeneo yenye wanaume.
 
Wanawake mara nyingi ni wsaidizi na wao huitwa tu kutoa maoni yao. Lakini ni mazungumzo ambayo yanachukuliwa kutokuwa ya kawaida na wanawake huwa hawako huru kutoa mawazo yao kwa uwazi hasa wakiwa kwenye mikutano yenye waume."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…