Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na kuliwa na watu katika namna mbalimbali, zao hili pia hutumika kutengeneza unga wa muhogo unaoliwa kama ugali nchini Tanzania, kuandaa wanga ambao hutumika viwandani, kulishia Wanyama, na kutengeneza madawa, nguo, karatasi, na vifaa vya ujenzi.
 
Gramu 100 (takribani vipande 4 vya muhogo uliopikwa) zina mnyumbulisho ufuatao wa lishe katika mwili wako:

LisheKiwango
Kalori330
ProtiniGramu 2.8
KabohaidretiGramu 78.4
NyuzinyuziGramu 3.7
KalisiamuMiligramu 33
MagnesiamuMiligramu 43.0
PotasiumuMiligramu 558.0
Vitamini CMiligramu 42.4
Thiamine, riboflavini na niacin
 
Back
Top Bottom