Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
 

Attachments

  • tapatalk_1494641959917.jpg
    50.9 KB · Views: 10
I'm in love-patoranking[emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pia nimefurahi kuzungumza na vijana. Nimewahakikishia kuwa Serikali itaendelea kujenga mazingira mazuri ya wao kupata ujuzi, mitaji na mazingira bora ya kufanya shughuli za uzalishaji mali. Nimewataka kuwa waadilifu, kuzingatia sheria na kuchangamkia fursa za kiuchumi.

Mama Samia.
 
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, 36, kwa mara nyingine tena hajakataa uwezekano wa yeye kutimka Juventus, kabla ya kumalizika kwa mkataba wake mwakani. Anahusishwa na klabu yake ya zamani ya Manchester United, huku Klabu hiyo ya Italia, ikitarajiwa kutengeneza pesa kupitia mkongwe huyo. (Express)
 
Winga wa England Jadon Sancho anatarajia kujiunga na Manchester United, licha ya Borussia Dortmund kukataa dau la awali la Β£67m kwa ajili ya kinda huyo mwenye umri wa miaka 21. Klabu hiyo ya Bundasliga inang'ang'ania dau la Β£77m. (Manchester Evening News)
 
Uhamisho wa kiungo wa Switzerland Granit Xhaka kutoka Arsenal kwenda Roma inayonolewa na Jose Mourinho, hautarajiwi kukamilika mapema kwa sababu vilabu hivyo vimekutana na mkwamo katika mazungumzo ya uhamisho wa mchezaji huyo mwenye miaka 28. (Corriere dello Sport via Express)
 
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…