Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe una akili sana,

Tatizo wanafanya kila kitu kama igizo tuu .. this is why tuko hapa since 1961!

wange kuwa serious kidogo wasinnge ruhusu mtu ambaye tayari kafukuzwa na chama chake kusimama kama muwakilishi ili kuwasemea vijana.

Mgawanyiko wa Taifa hili (uCCM na uCHADEMA) hauwezi kuleta maendeleo ya kweli, ni maigizo na kukomoana tuu.

WaKenye wao wameushinda mpasuko huo wa kitaifa na sasa wanafanya vizuri, kwa nini hatuwezi kuona hili??
Tumezoea maigizo kila kona angalia hasa tunavyocheza na corona kisa tumevaa barakoa. nilijikuta nacheka eti mtu kavaa barakoa baada ya kusain mikataba yao wakashikana mikono sasa jamani tunapunguzaje tatizo kwa style hio.

na ya uvyama hali ni mbaya mno
 
Usiku wa kuvua(in jirani's voice)
Ila misemo ya Jirani yetu haifai jumla....
IMG_20180402_160731.jpg
 
Back
Top Bottom