Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Newcastle United imemuongeza mlinzi wa Liverpool Nat Phillips katika orodha ya wachezaji inaowafukuzia, lakini itawalazimu kupambana na Burnley kumnasa beki huyo wa kushoto raia wa Uingereza, ambaye hatarajii kupata nafasi watakapopona majeruhi Virgil Van Djik, Joe Gomez na Joel Matip. (Mail)
 
Mlinzi wa kati wa Real Madrid Raphael Varane anatarajia kutimka kwa wababe hao wa Hispania, huku vilabu vya Manchester United na Paris Saint Germain (PSG) vikionyesha nia ya kumtaka. Inaonekana nyota huyo mwenye miaka 28-angependelea kutua PSG ambao watalazimika kulipa kitita cha Β£51.5m kwa ajili ya mfaransa huyo. (El Confidencial, via Caught Offside)
 
mie naona hapo sio kuzungumza bali kuhutubia vijana. mazungumzo ni sawa na yale ya obama alipokua kenya alizungumza na vijana wachache wakamuuliza maswali na akawajibu bila hata kupangiwa
 
Leicester City inatarajiwa kukamilisha usajili wa kiungo mfaransa Boubakary Soumare wiki hii. Vilabu vya Wolves na Everton navyo vinavutiwa na kinda huyo mwenye umri wa miaka 22, ambaye kwa sasa anachezea mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) Lille. (Mail)
 
mie naona hapo sio kuzungumza bali kuhutubia vijana. mazungumzo ni sawa na yale ya obama alipokua kenya alizungumza na vijana wachache wakamuuliza maswali na akawajibu bila hata kupangiwa
Wewe una akili sana,

Tatizo wanafanya kila kitu kama igizo tuu .. this is why tuko hapa since 1961!

wange kuwa serious kidogo wasinnge ruhusu mtu ambaye tayari kafukuzwa na chama chake kusimama kama muwakilishi ili kuwasemea vijana.

Mgawanyiko wa Taifa hili (uCCM na uCHADEMA) hauwezi kuleta maendeleo ya kweli, ni maigizo na kukomoana tuu.

WaKenya wao wameushinda mpasuko huo wa kitaifa na sasa wanafanya vizuri, kwa nini hatuwezi kuona hili??
 
Nasikia vijana wa kisukuma wameomba amani na madarasa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamani jamaniiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ugeni wa rais umewanufaisha boda boda na bajaji walipata ofa ya kuwekewa mafuta bure sheli flan hivi town. Jumapili karibu na gold crest palikua hapapitiki kwa folen ya bajaji na boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…