Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tumezoea maigizo kila kona angalia hasa tunavyocheza na corona kisa tumevaa barakoa. nilijikuta nacheka eti mtu kavaa barakoa baada ya kusain mikataba yao wakashikana mikono sasa jamani tunapunguzaje tatizo kwa style hio.Wewe una akili sana,
Tatizo wanafanya kila kitu kama igizo tuu .. this is why tuko hapa since 1961!
wange kuwa serious kidogo wasinnge ruhusu mtu ambaye tayari kafukuzwa na chama chake kusimama kama muwakilishi ili kuwasemea vijana.
Mgawanyiko wa Taifa hili (uCCM na uCHADEMA) hauwezi kuleta maendeleo ya kweli, ni maigizo na kukomoana tuu.
WaKenye wao wameushinda mpasuko huo wa kitaifa na sasa wanafanya vizuri, kwa nini hatuwezi kuona hili??
Am speechless.Tumezoea maigizo kila kona angalia hasa tunavyocheza na corona kisa tumevaa barakoa. nilijikuta nacheka eti mtu kavaa barakoa baada ya kusain mikataba yao wakashikana mikono sasa jamani tunapunguzaje tatizo kwa style hio.
na ya uvyama hali ni mbaya mno
salama kabisa.mzima?Am speechless.
Vipi hali yako lakini?
Yea mimi sijambo kabisa! Nashukurusalama kabisa.mzima?
Huku ni kwema pia ankoo,Mungu ni mwema[emoji120][emoji120]Ankoo [emoji120][emoji120]
Ni muda mrefu ndugu yangu, Mungu ni mwema sijui wewe huko na familia?
Imeisha tayali carba,ndio final seasonMama wa moto sana huyu
Hivi s5 haijaisha niishushe??
Jirani kanisuprise sana hiyo ya kuvua [emoji28][emoji28]Jirani ana balaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila misemo ya Jirani yetu haifai jumla....Usiku wa kuvua(in jirani's voice)
Tuzidi kuimarika kiimani maana ndio faraja yetu pekee hapa duniani.Huku ni kwema pia ankoo,Mungu ni mwema[emoji120][emoji120]
Huko ni hatariiiBro, umewahi pigwa teke huko chini?