Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😂😂😂Ila misemo ya Jirani yetu haifai jumla.... View attachment 1819752
Mboga yangu pendwaDagaa ni kitoweo kinachotumiwa na jamii kubwa kwa ajili yakujenga miili yetu. Pamoja na ulaji wa dagaa maeneo mengi ni vizuri leo ukajua faida zake kiafya.
waaow awesomeMboga yangu pendwa
Sawasawa..Katika tafiti nyingi za magonjwa ya moyo na tiba zake, Omega 3 imeonekana kua ni dawa au kinga kubwa sana ya magonjwa ya moyo. Chanzo kikuu cha Omega 3 ni samaki na dagaa.