myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh... amekwisha au..Juventus inatarajiwa kufanya mazungumzo na wawakilishi wa kiungo Aaron Ramsey, 30, kujaribu kutafuta namna ya kuachana na nyota huyo wa kimataifa wa Wales, ingawa mpaka sasa hakuna mawasiliano na klabu yake ya zamani ya Arsenal. (Goal)