Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1623817299126.jpg
 
Hutawala kiwango cha sukari mwilini

Maharage yana nyuzi nyuzi ambazo hupunguza kiwango cha metaboli cha wanga (carbohydrates) mwilini. Kwa kufanya hivi huwezesha kutawala kuongezeka kwa kiwango cha sukari hasa baada ya kula chakula.Maharage pia yana protini ambayo husaidia kupunguza kiwango cha sukari mwilini.
Sawasawa
 
Manchester United imepeleka dau la mwaka mmoja la £17m kwa ajili ya kumrejesha mshambuliaji wa kireno, Cristiano Ronaldo kutoka Juventus, katika mpango ambao utashuhudia kiungo Mfaransa, Paul Pogba, 28, akienda upande wa pili. Hata hivyo, chaguo la Ronaldo ni klabu ya Paris St-Germain. (Gazzetta dello Sport, via Mail)
 
Back
Top Bottom