moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mwana kulitaka..
Shukrani sana Ankoo,nashukuru kwa maneno haya ya ukumbusho juu ya Muumba wetu[emoji120]Tuzidi kuimarika kiimani maana ndio faraja yetu pekee hapa duniani.
Endelea kuimarika Anko [emoji120]