Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee!Unalipa pamoja na bili ya umeme
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ankoo
Hila jamaa mwamba Sana Jana katupia mbiliMshambuliaji wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, 36, kwa mara nyingine tena hajakataa uwezekano wa yeye kutimka Juventus, kabla ya kumalizika kwa mkataba wake mwakani. Anahusishwa na klabu yake ya zamani ya Manchester United, huku Klabu hiyo ya Italia, ikitarajiwa kutengeneza pesa kupitia mkongwe huyo. (Express)