BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
View attachment 1820629
huyu ni bohora, ismailia, shia, au muhindu?
[emoji120][emoji120]Jioni iwe njema kwetu wote..
Mbona ameenda kinyume kwa mambo kama crona, biashara na Kenya, watumishi makanjanja kama Sabaya, Chalamila, uwekezaji wa nchi za kibeberu nk?sidhani kama raisi samia atakwenda kinyume na uamuzi wa raisi mstahafu ambaye ndiye muanzishilishi wa hilo jambo kwa mkono wa bunge.
Singasinga SethView attachment 1820629
huyu ni bohora, ismailia, shia, au muhindu?
hili naliona ni kubwa sana (limebeba taswira kubwa sana kitaifa)Mbona ameenda kinyume kwa mambo kama crona, biashara na Kenya, watumishi makanjanja kama Sabaya, Chalamila, uwekezaji wa nchi za kibeberu nk?
Malkia mtarajiwa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mmoja karudishwa kwa usafiri wa boti leo
Wahindu =Baniani.Nadhani ni singa singa huyo hivyo possibility kubwa ni mhindu.
ukiidaka unageuka millionea kama sharobarobil za dae
tumewatoa wawili ili mtulize fujo