Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hizi ndiyo faida kumi (10) za kula Ukwaju.Unatakiwa ujaribu kuweka ukwaju karibu katika kila mlo wako kwa kila siku kwasababu ukwaju una faida nyingi kiafya ambazo hakika zitakufanya uwe na afya njema au kukuimarisha afya yako kiujumla.