Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vitunguu saumu

Hupatikana Kila soko Tanzania! Japokuwa vitunguu saumu vimekuwa vikitumika sana kwa ajili ya matibabu ya magonjwa mbalimbali toka enzi za mababu, wataalamu wameshauri pia vitunguu hivi ni chanzo muhimu kwa kinga ya binadamu. Vitumie kwa kutafuna (kama unaweza) au weka kwenye chakula!
 
Poleni wakulima wote...
[emoji120][emoji120]
FB_IMG_1610191854295.jpg
 
Supu ya kuku

Wengi watahisi ni gharama lakini si kubwa kuzidi gharama ya kumuona daktari! Unywaji wa supu ya kuku ya moto husaidia kuzuia kupungua kwa seli nyeupe za damu vilevile hupunguza uwezekano wa kupata matatizo yanayohusiana na mapafu na mfumo wa hewa kiujumla!
 
Kwenye ile traffic jam iliyotokea jumamos maenek ya Gold Crest,jirani na ile petrol station..


Jaman,ile light skin
😂😂😂😂😂😂😂😂ile pisi iliyokua na suruali matata asalaleee ninge nilimuona boda mmoja ananiangalia aaah jaman mzee wa kadeti usiwe bodaboda sio kwa burufukesi ile
 
Maji

Kama kuna Kitu cha kwanza kwa uhai wa binadamu basi ni maji. Bila kunya maji ya kutosha bado utakuwa katika hatari ya kupata magonjwa mbalimbali. Angalau lita moja na nusu kwa siku ni muhimu kwa afya yako
 
Back
Top Bottom