Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a
Kitendo cha Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo juzi wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wao wa Euro 2020 vs Hungary kuondoa chupa mbili za Cocacola kwenye meza ambao ni Wadhamini wa michuano hiyo na kusisitiza Watu kunywa maji zimefanya thamani ya hisa za Cocacola kushuka kwa 1.6%.

Thamani ya hisa ya Cocacola imeshuka sokoni kwa kitendo hicho kutoka USD 56.10 (Tsh 130,087) kwa hisa moja hadi USD 55.22 (Tsh 128,043) sawa na anguko la 1.6% thamani ya Cocacola katika soko ilikuwa USD Bilioni 242 (Tsh Trilioni 561.2) na sasa ni USD Bilioni 238 (Tsh Trilioni 551.
😎
hivyo Cocacola wamepata hasara ya USD Bilioni 4 (Tsh Trilioni 9.2)
aiseee watu wana nyota za biashara
 
dae akipata udc hatumpi bil anayotudai
nimesikia kuna nafasi mbili za vijana
yupo ndugu yake wa kiume samia suluhu huwa tunakaa maskani pamoja
ngoja nizidi kujipendekeza kwake
  1. anashabikia liverpool
  2. anaishi kwao
  3. anafundisha timu ya watoto
  4. umri wake unakaribia miaka 40
  5. jina lake maarufu ni KOPP
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa tukichukua kindege chetu mtabaki na nini jameni. Halafu taratiiibuuu ohoo mtamdondosha mama samia maana mnakata tawi alilokalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dae usijisahaulishe mie na mzee wa liver tuna shea yetu kwenye bilioni moja yako
Hahaha Numbi bhana Shea yetu ipo [emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂😂😂😂😂kwenye fursa upo fasta.

dae mie bando tu gb 50 hivi utabarikiwa sana.

Ngoja nianze kuomba muungano uvunjwe boss dae atatupe kautajiri rafiki zake wa bara
na tumeshaanza kuichokonoa TFF
unadhani yule ali saleh anagombea uraisi bila ya plan

shirikisho la tanzania, eti kura zipigwe na watanganyika
tutakutana mahakamani FIFA
na billioni 1 yangu mutanipa
 
sikiriza weweeeee huyo samia tumewaletea ili awarudishie tabasamu nyusoni mwenu
watu muna miaka 6 hamujapandishiwa hata mshahara.
sura zimenuna kama vunjajungu
View attachment 1820405

kuhusu ndege raisi wetu atasafiria meli ya mapinduzi mpaka hapo itakapopatikana pesa ya kununulia ndege kama ile ya raisi wa marekani.
mgao utapata, kila unapokumbushia mgao na bonus inaongezeka
haya utapata millioni 60
[emoji14] [emoji14] 😛
Yangu nayo ipande dae nilianza na M 50
 
Hivyo, Rais Dk. Mwinyi alieleza kwamba mbali ya Zanzibar kusaidiwa katika kuendeleza miradi katika sekta ya afya ni vyema ikasaidiwa katika uendelezaji miundombinu na mifumo ya afya pamoja na uendelezaji wa rasilimali watu ili kuwe na tija endelevu ya misaada inayotolewa.
View attachment 1820406
Sawasawa....
 
Back
Top Bottom