Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ndege si ndo mwinyi anaitumia hii aiseee msiwe hivyo😂😂😂😂😂😂mna tabia kama zangu yaan ninaweza nikawa nakudai 1000 baadae nikakuomba 5000 ukinipa bado nakukumbusha nakudai 1000😂😂😂😂😂😂
weweeeeeeee hii hujaionaaaa
hicho kideni chenu kitafidiwa hapa yaniii
halafu babu ali sheni alimwambia magufuli kama anaweza akate zenji
kaufyataaaa
kaogopaaaaa

unadai mia tano wakati mwenzio anakudai laki 5
😛 😛 😛 😛 😛 😛

billioni yangu naitakaaaa
wasukuma nyie na wamasai nipeni ng'ombe 1000 niwasamehe
bilioni 1 napata nyumba koreaaaaa

View attachment 1820378
 
Hii ndege si ndo mwinyi anaitumia hii aiseee msiwe hivyo😂😂😂😂😂😂mna tabia kama zangu yaan ninaweza nikawa nakudai 1000 baadae nikakuomba 5000 ukinipa bado nakukumbusha nakudai 1000😂😂😂😂😂😂
hicho kidege chenu kibovu chukueni musafirishie punda milia lakini muturudishie sovereignity yetu
mwaka 1839 marekani walituma balozi nchini kwetu anaitwa richard walters
1841 waingereza wakaleta balozi wao
Wapi tanganyika wakati sisi tupo
😛 😛 😛 😛 😛
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂sasa tukichukua kindege chetu mtabaki na nini jameni. Halafu taratiiibuuu ohoo mtamdondosha mama samia maana mnakata tawi alilokalia😂😂😂😂😂😂dae usijisahaulishe mie na mzee wa liver tuna shea yetu kwenye bilioni moja yako
 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Serikali ya Ujerumani kwa utayari wake wa kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuendeleza miradi ya maendeleo iliyopangwa na Serikali ya Awamu ya Nane.
Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bi Regine Hess.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂sasa tukichukua kindege chetu mtabaki na nini jameni. Halafu taratiiibuuu ohoo mtamdondosha mama samia maana mnakata tawi alilokalia😂😂😂😂😂😂dae usijisahaulishe mie na mzee wa liver tuna shea yetu kwenye bilioni moja yako
sikiriza weweeeee huyo samia tumewaletea ili awarudishie tabasamu nyusoni mwenu
watu muna miaka 6 hamujapandishiwa hata mshahara.
sura zimenuna kama vunjajungu
1623838464630.png

kuhusu ndege raisi wetu atasafiria meli ya mapinduzi mpaka hapo itakapopatikana pesa ya kununulia ndege kama ile ya raisi wa marekani.
mgao utapata, kila unapokumbushia mgao na bonus inaongezeka
haya utapata millioni 60
😛 😛 😛
 
Katika mazungumzo hayo, Rais Dk. Mwinyi alimueleza Balozi Hess kuwa azma ya Serikali ya Ujerumani ya kuendelea kuisaida Zanzibar katika kuendeleza miradi ya maendeleo itasaidia kwa kiasi kikubwa kuyafikia malengo yaliyowekwa.
Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pia, inathamini sana mashirikiano yaliopo kati yake na Serikali ya Ujerumani na hatua yake ya kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika sekta ya afya ambayo itandelea kuletea manufaa makubwa kwa wananchi wa Zanzibar.
 
Alisema kuwa azma ya Serikali ya Ujerumani ya kusaidia uendelezaji wa mradi wa maji safi na salama pamoja na mitaro ya maji taka katika eneo la Mji Mkongwe itasaidia katika kuuweka mji huo katika hadhi yake inayotajika sambamba na kuwapelekea wananchi kupata huduma hizo ipasavyo.
Alifahamisha kuwa Serikali ya Ujerumani kwa muda mrefu imekuwa ikiisaidia Zanzibar katika kuimarisha na kuendeleza sekta ya afya hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuzisaidia hospitali ya Abdalla Mzee Pemba na Hospitali ya Kijeshi ya Bububu.
 
sikiriza weweeeee huyo samia tumewaletea ili awarudishie tabasamu nyusoni mwenu
watu muna miaka 6 hamujapandishiwa hata mshahara.
sura zimenuna kama vunjajungu
View attachment 1820405

kuhusu ndege raisi wetu atasafiria meli ya mapinduzi mpaka hapo itakapopatikana pesa ya kununulia ndege kama ile ya raisi wa marekani.
mgao utapata, kila unapokumbushia mgao na bonus inaongezeka
haya utapata millioni 60
😛 😛 😛
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tabasamu tulikua nalo. Nimemis misemo mipya ya Jiwe
 
Back
Top Bottom