D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kwenye billioni 1 nitawatumia millioni 30 kwa kila mmoja humu ndaniB moja acha uvunjwe najua utanitumia hata mil 50
tupeni pesa yetu kwanza
billioni 1 yangu imeshikiliwa na wasukuma, wanyamwezi, wanyaturu, wahehe, wakarimajong, wanyatur, wadigo,
mama weee umasikini wa makusudi ndio huu