Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Natamani uvunjwe tuwatimue wanzenji bara kasoro dae tu😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃huyu abaki anatufaidisha na vikorea
Othman massoud anasema hivi:
kwa kuanzia mwaka 1984 mpaka hii leo kama zitapigwa hesabu za gharama zinazopaswa kulipwa kwa serikali ya zanzibar na serikali ya Muungano basi kila mzanzibar atakuwa na uhakika wa kupata billioni 1 na chenji ikabakia.
na anasema anayepinga atoke hadharani waweke mjadala

bora uvunjwe tu dae nipate hela yangu😛😛😛😛😛😛😛
japokuwa nitawamisi wasukuma wa humu ndani na ng'ombe zao
babu andjul atakuja home kwa pasipoti

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyo othamn kasahau tanesco inawadai mabilioni ya kutosha. Halafu hesabu anazopiga ni ile mikopo inayopatikana wanataka wapewe pasu kwa pasu ila kwenye kulipa bara ndo waulipe mkopo wote.
 
B moja acha uvunjwe najua utanitumia hata mil 50
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyo othamn kasahau tanesco inawadai mabilioni ya kutosha. Halafu hesabu anazopiga ni ile mikopo inayopatikana wanataka wapewe pasu kwa pasu ila kwenye kulipa bara ndo waulipe mkopo wote.
weweeeeeeee hii hujaionaaaa
hicho kideni chenu kitafidiwa hapa yaniii
halafu babu ali sheni alimwambia magufuli kama anaweza akate zenji
kaufyataaaa
kaogopaaaaa

unadai mia tano wakati mwenzio anakudai laki 5
😛 😛 😛 😛 😛 😛

billioni yangu naitakaaaa
wasukuma nyie na wamasai nipeni ng'ombe 1000 niwasamehe
bilioni 1 napata nyumba koreaaaaa

1623836926811.png
 
Wakati mmoja nakumbuka, ni wakati tulikuwa tunajitayarisha na mazoezi katika klabu ya utumbuizaji, pale sisi sote hatukuwa tumevaa viatu, kila zamu yangu ilipowadia niliponyanyua miguu nyayo zangu zilichora unyevunyevu, baadhi ya wenzangu pale walinong'onezana huyu ana nini anamwaga maji ovyo ovyo? Maneno hayo yaliniumiza sana, yalinifanya nichukue uamuzi wa kuondoka katika klabu hiyo ya burudani , ile siku ilikuwa ya kwanza na ya mwisho niliachia pale ... "Anakumbuka Everlyne.
 
Matumizi ya mara kwa
mara ya maji ya madafu
yatakufanya uonekane na kijana
hata kama umri wako umeenda.
Kuwa na uwezo wa kuzuia
muonekano wa uzee ni miongoni
mwa sababu zinazo yafanya maji ya
madafu yawe maarufu sana
miongoni mwa wasanii wanao igiza
filamu katika huko Hollywood nchini
Marekani.
Safii...nimeongeza maarifa
 
Back
Top Bottom