Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1623836010804.jpg
 
Duh! ATCL imegubikwa na madeni makubwa ndani na nje ya nchi.
weweeeeeeee hii hujaionaaaa
hicho kideni chenu kitafidiwa hapa yaniii
halafu babu ali sheni alimwambia magufuli kama anaweza akate zenji
kaufyataaaa
kaogopaaaaa

unadai mia tano wakati mwenzio anakudai laki 5
😛 😛 😛 😛 😛 😛

billioni yangu naitakaaaa
wasukuma nyie na wamasai nipeni ng'ombe 1000 niwasamehe
bilioni 1 napata nyumba koreaaaaa

View attachment 1820378
 
Kitendo cha Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo juzi wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wao wa Euro 2020 vs Hungary kuondoa chupa mbili za Cocacola kwenye meza ambao ni Wadhamini wa michuano hiyo na kusisitiza Watu kunywa maji zimefanya thamani ya hisa za Cocacola kushuka kwa 1.6%.

Thamani ya hisa ya Cocacola imeshuka sokoni kwa kitendo hicho kutoka USD 56.10 (Tsh 130,087) kwa hisa moja hadi USD 55.22 (Tsh 128,043) sawa na anguko la 1.6% thamani ya Cocacola katika soko ilikuwa USD Bilioni 242 (Tsh Trilioni 561.2) na sasa ni USD Bilioni 238 (Tsh Trilioni 551.
😎
hivyo Cocacola wamepata hasara ya USD Bilioni 4 (Tsh Trilioni 9.2)
 
Back
Top Bottom