D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
hakuna ubaya, hata mtume alikaa bila ya kwenda Hijja kama nitakuwa sahihiHakuna Ibada ya Hijja kwa mara ya pili mfululizoView attachment 1820695
kuna chama kiliingiwa na khofu baada ya vuguvugu la hawa jamaa kuzidi kuwafikia hata wale watu wao waliopo mashambani (vijijini) kama vile nungwi, makunduchi n.kInashangaza na kusikitisha sana. Tangu lini kudai haki imekuwa ni kufanya fujo!?
Hakuna Ibada ya Hijja kwa mara ya pili mfululizoView attachment 1820695
mwanzoni ilikuwa ni hivyo ila baadae wamebadili msimamoHuyu kasema uongo. Saudi Arabia walichokisema ni kwamba Waislamu wote wenye kuweza kuthibitisha kwamba wamepata vaccine shot za COVID-19 wataruhusiwa kwenda kuhiji.
Hiyo picha wametusingizia kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ankooView attachment 1820304
Mungu ni mwema ndugu yangu, unaendeleaje na familia?Mkuu Mambo za masiku
mwanzoni ilikuwa ni hivyo ila baadae wamebadili msimamo
watakaohiji kwa sasa ni wale wanaoishi ndani ya saudia arabia pekee
Juzi nilikuwa kwenu huko hali imebadilika ghafla sana, raha ni nyingi kuliko kuwaza.Othman massoud anasema hivi:
kwa kuanzia mwaka 1984 mpaka hii leo kama zitapigwa hesabu za gharama zinazopaswa kulipwa kwa serikali ya zanzibar na serikali ya Muungano basi kila mzanzibar atakuwa na uhakika wa kupata billioni 1 na chenji ikabakia.
na anasema anayepinga atoke hadharani waweke mjadala
bora uvunjwe tu dae nipate hela yanguπππππππ
japokuwa nitawamisi wasukuma wa humu ndani na ng'ombe zao
babu andjul atakuja home kwa pasipoti
fanya uhamie na ukoo wakoJuzi nilikuwa kwenu huko hali imebadilika ghafla sana, raha ni nyingi kuliko kuwaza.
wewe kunywa bia mambo ya hijja waachie wenyeweShukrani Mkuu kwa kunijuza. ππΎππΎππΎππ½
fanya uhamie na ukoo wako
huku ni kucheleee
wasukuma oyeeeeπππππKucheleeeeee!
wasukuma oyeeee
katerero oyeee
hotuba zake zinaburudisha eneo la utani tuHahahahahaha Wakoromije oyeeeeee! Katerero oyeeeeeeee utamu kunoga ππππππ
βSerikali ya Saudi Arabia kupitia Wizara yake ya Hijja wameona waifute Ibada ya Hijja kwa wanaotoka Nchi za nje, itafanyika kwa idadi ndogo ya Mahujaji Elfu 60, niwaambie Watanzania masuala ya Hijja mwaka huu hakuna Watu wajiandae kwa mwaka ujao, Mungu atupe subira juu ya jambo hili kwasababu huu ni mwaka wa pili hatuendi Hijjaββββ-Sheikh Zubery
Kwa kawaida Mahujaji takribani Milioni mbili kutoka Duniani kote hufika Makkah kutekeleza mojawapo ya nguzo tano za Kiislamu kila mwaka.