mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
YapNadhani ni singa singa huyo hivyo possibility kubwa ni mhindu.
Hayo Mambo ya kuachiwa usiku sio fair
YapMalkia mtarajiwa[emoji122][emoji122][emoji122]
Amenunua uhuru wake
Ibada ipo kwa watu wa saudia tuHakuna Ibada ya Hijja kwa mara ya pili mfululizoView attachment 1820695
NopeHuyu kasema uongo. Saudi Arabia walichokisema ni kwamba Waislamu wote wenye kuweza kuthibitisha kwamba wamepata vaccine shot za COVID-19 wataruhusiwa kwenda kuhiji.
Yapmwanzoni ilikuwa ni hivyo ila baadae wamebadili msimamo
watakaohiji kwa sasa ni wale wanaoishi ndani ya saudia arabia pekee
Gr8 mkuuMungu ni mwema ndugu yangu, unaendeleaje na familia?
So jumla wanakuwa 18 wengine inakuwaje wamesema wote wamefutiwa mashitakaWatuhumiwa wengine 16 katika kesi iliyokuwa inawakabili Masheikh wa Uamsho wameachiwa leo.
Na kwako pia mkuuUsiku uwe mwema kwetu wote
Kama kwetuUsiku wa ubaridi...