Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1623478070239.jpeg
 
Miaka minne iliyopita mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Singh Sethi na mfanyabiashara James Rugemarila waliwekwa mahabusu kwa mashtaka 12 ya kuhujumu uchumi na kutakatisha fedha pamoja na kuisababishia serikali hasara ya USD 22, 198,544.60 na Sh 309,461,300,158.27(USD 138,275.82).
 
Washtakiwa wote, wanadaiwa kuwa kati ya Novemba 28/29, 2011 na Januari 23,2014 makao makuu Benki ya Stanbic kinondoni na Benki ya Mkombozi tawi la St .Joseph kwa ulaghai walijipatia kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT), walijipatia USD 22,198,544.60 na Tsh 309, 461,300,158.27.
 
Back
Top Bottom