antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
AiseeNionavyo mimi, Mbunge wa Sengerema, Tabasamu, amejaribu kuonyesha ujasiri na uzalendo kwa taifa.
This๐๐
SawaKutoa maji(fluid) mengi
Kazi ya pili muhimu ya figo ni kulinganisha fluid kwa kutoa maji zaidi kama mkojo na kubakiza kiwango muhimu cha maji katika mwili. Kwa hivyo figo huweka kiwango kamili cha maji yanayohitajika katika mwili.
Figo zinaposhindwa, hushindwa kutoa maji zaidi kama mkojo. Maji mengi mwilini huchangia kuvimba kwa mwili.