Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati wa utawala wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ili mtu awe kiongozi wa kisiasa ni lazima atenganishe biashara na siasa
Ilikuwa utekelezaji wa Azimio la Arusha.
Hata hivyo Azimio la Arusha limechangia kwenye kufeli kwetu kiuchumi.
Wengi wanaosapoti Azimio hilo ni wale wenye mioyo ya husda na chuki dhidi ya matajiri na utajiri.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…