Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Apumzike kwa amani..
Duh..Arsenal wamerudi nyuma kuhusu mpango wao wa kumsajili nyota wa kimataifa wa Norway Martin Odegaard, 22, ambapo kiungo huyo anatarajiwa kusalia klabuni kwake Real Madrid baada ya kutumia sehemu ya pili ya msimu akiwa kwa mkopo Emirates. (AS - in Spanish)