Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shukrani bro
Hawa wananchi siyo wajinga wa kubeba mapanga tu na kwenda kutishia mafundi. Ukiongea nao utagundua mengi sana. Pengine hayo mabomba hayana faida kwao. Pengine yanapita katika vyanzo vyao vya maji au sehemu takatifu za kabila lao. Au tu hawataki hayo maji na wana vyanzo vyao mbadala.

Kuna mtindo wa kudhani kuwa watu hawa wa vijijini ni wajinga na wasiostahili hata kushirikishwa katika maamuzi ya mambo yanayohusu maisha yao. Matokeo yake ndo haya. Unawatengenezea mabomba wanayaharibu kwa makusudi. Unaishia kusema watu hawa ni wajinga sababu hawajasoma. Unawapelekea vyandarua wanavigeuza nyavu za kuvulia samaki unabaki unaandika vipepa vyako ukiwalaumu jinsi wasivyopenda maendeleo. Unawalazimisha wachemshe maji ya kunywa kweli wanachemsha lakini hawayanywi. Unabakia kukuna kichwa. Unawapelekea chanjo ya Ebola wanakutoa mkuku kwa mapanga, uta na mishale...

Misaada na huduma za kweli ni lazima ziwe shirikishi. Kabla hujapeleka misaada au huduma zako, kaa chini uongee na walengwa. Kwa uwazi kabisa na uzingatie mapendekezo yao. Kufanya vinginevyo na kujaribu kuendeleza na kuhudumia watu kwa nguvu ni kupoteza muda. Wazungu watoa msaada kwa Afrika ndo wameanza kuligundua hili sasa. Kwamba Afrika kamwe haitaendelea kwa misaada kutoka nje bila kuwashirikisha walengwa hasa wa misaada hiyo; na hata kutafuta njia mbadala za jinsi ya kuitumia misaada hiyo kwa faida ya wote.

Hii isitumiwe kabisa na mtu anayepata matibabu ya aina yo yote ya saratani/ kansa. Matibabu hayo hayatafanya kazi!

Wenye BP na matatizo ya moyo wakae mbali na kahawa! Caffeine hukukurisha moyo na kupandisha presha. Watumie decaffeinated coffee (kahawa isiyo na Caffeine). Faida ni zile zile bila madhara ya Caffeine.

For the bros...suffering from low sperm count and other related ailments...Karanga mbichi, miwa, mihogo mibichi, nazi mbichi na maziwa ya mgando. Tumia kwa wiki moja hadi mwezi mzima halafu ingia mzigoni....utakuja kunishukuru. Hata mapacha utafotoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
View attachment 1823196View attachment 1823197
 
Mayai yanaweza kusaidia kupunguza uzito kwa sababu yana kiasi kikubwa sana cha Protini inayofanya ujisikie umeshiba kwa muda mrefu sana kwa sababu tumbo huhitaji muda mrefu zaidi kumeng’enya kundi hili la vyakula.
 
Back
Top Bottom