Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Kwa mfano, kabla ya mafunzo mkulima alikuwa anavuna magunia matano hadi 12 kwa ekari moja. Lakini sasa hivi mkulima huyo huyo katika eneo lile lile, anavuna kati ya magunia 30 na 45!” anasema Siama, kauli iliyothibitishwa baadaye na wakulima waliozungumza na wahariri katika kituo cha ushauri wa kilimo biashara cha Mondo.
 
Siama anatoa mfano wa kilimo cha miembe ambacho ni zao la asali akisema: “Wakulima wamekuwa wakivuna maembe kwa miaka mingi. Wakati wa msimu wa mavuno maembe haya huwa mengi kiasi cha mengine kuoza. Miundombinu ya ukaushaji tuliyosaidia kuiweka itaongeza tija katika hili.”
 
 
Back
Top Bottom