moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Duh...na nchi ina uhaba wa chakulaMbali na mvinyo wa Ufaransa na Vodka ya Urusi, Kim Jong Un hunywa kahawa ya Brazil inayofahamika kama Brazilian joe. Kiongozi huyu wa Korea Kaskazini anayedaiwa kuwa dikteta anaaminiwa kutumia mamia ya dola kila mwaka kununua kahawa hiyo kutoka America Kusini.