Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu Wengi huwa tunakuwa macho kwa muda mrefu wakati wa usiku badala ya kupumzika kwa kulala. Kuna sababu nyingi za mtu kuchelewa kulala zikiwemo kuendelea kufanya kazi aliyopanga kumaliza kwa siku hiyo,Kutolala usiku au kuchelewa kulala bila sababu ya msingi sio vizuri kiafya.
 
Utafiti unaonyesha watu wanaopata kupumzika vizuri na kuamka asubuhi na mapema huwa na furaha na afya njema. Vilevile utafiti wa hivi karibuni unaeleza kwamba watu ambao huchelewa kulala au ambao hawapumziki kwa muda wa kutosha hupata matatizo ya ''utendaji kazi mbaya wa moyo (bad cadiac functioning) yakiwemo mapigo mabaya ya moyo (heart rate) na shinikizo la damu (blood pressure)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…