carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
One and only-adele
🎶🎶
🎶🎶
Abarikiwe SanaRC Mwanza awakumbusha watumishi wa umma kutoa fungu la kumi
Mkuu kilimo changu Cha samaki kinanitosha SanaNatarajia utaukwaa mkeka wa u-Das au RAS[emoji23]
Acha tu mkuuDuh...na nchi ina uhaba wa chakula
HahahaNatumaini hawatamuombea Mama mabaya maana keshawapa sabaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
In Mama we TrustNdo kwanzaaa siku mia
Aluta continua
Fumbo kubwa sanaNdugu zake na Yusufu hawakujua kama Wanamdharau Waziri Na kumpiga Waziri na kumuuza Waziri laiti wangejuwa wasingefanya vile.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumekosa ila nna wasi wasi na dae keshapata ulaji kakaa kimyaaa anatuchora tu dc wetu
AminaUbarikiwe na Mungu wa mbinguni akuinue.
Nakupenda Nakushukuru sana kuwa pamoja nami hata sasa, Hongera Kwa Neema ya uzima itumie Neema hiyo vizuri iwe na faida na matunda mbele za Mungu AMEN.
Fungu la kumi muhimu Sana pamoja na ShukuraniMKUU wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi amewahamasisha watumishi wa umma kutoa fungu la kumi kama Mwenyezi Mungu alivyo agiza katika maandiko matakatifu,ili kupata baraka na hekima ya kutenda yaliyo mema yatakayoleta maendeleo kwa jamii na taifa.
Neno kubwa Sana hiloMsichukue hela mbaya na maanisha rushwa ni sumu watafuteni waliokula rushwa sasa hivi wapo wapi.
tuna dc mzenji😂😂😂😂dae ukuje ni wewe au yule mwalimu wa soka ndugu yake mama?Hahaha
Mambo ya TangaView attachment 1824769
Davet imetosha sasa mwambie akurudishie nywila bhana[emoji124][emoji124][emoji124]