Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ina maana kwamba kutumia shampoo nyingi kunaweza kukufanya usiweze kuipata nywele na kuisafisha vizuri kutokana na kuzidiwa na povu nyingi sana. Na kutumia shampoo kiasi kutafanya nywele zako zisitakate vizuri.
 
Kwa kutumia vidole, paka shampoo kwenye nywele zako ulizozigawanya kwenye makundi manne. Paka kuanzia kwenye ngozi ya kichwa (scalp) kuja kwenye ncha ya nywele.
 
Kutokuosha na kurudia (rinse & repeat)

Ni muhimu sana kuosha nywele na kurudia. Na hii ni muhimu zaidi kwa wale wenye nywele ndefu. Kama una nywele fupi au ndogo kabisa, si lazima kwako kuosha na kurudia. Baada ya kuwa umesugua ngozi ya kichwa kwa dakika tatu, ni muda wa kuosha nywele.
 
Back
Top Bottom