Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
“You never know how close you are… Never give up on your dreams!”
Hongera sana.Bukombe District
===========
waendeleaje wewe na familia yako?
Sawasawa,,Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu, Ikulu ya Chamwino, Dodoma amemuapisha Balozi Batilda Buriani kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora. Kabla ya kuapishwa, alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga.
===========================
amependeza na vazi lake la kitenge
View attachment 1825306
nimetupwa chatoHongera sana.
Huku ni shwari kaka
vipi alikuwa ni demu wako enzi za ujana?Sawasawa,,
Duh!!vipi alikuwa ni demu wako enzi za ujana?
teh teh