Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ufanye nini:

Kama una marafiki au watu wako wa karibu ambao ni hasi, anza kuwaepuka na tafuta marafiki na watu wa kukutia moyo. Tafuta watu walio na maono na maisha yao na ambao watakupa hamasa ya kuendelea mbele. Ukiambata na marafiki hasi na wewe lazima utakuwa hasi na ukiambata na watu chanya watakupa hamasa ya kuendelea mbele.
 
Sawasawa,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…