Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliwasili katika eneo hilo mwaka 2013 na baada ya uchunguzi aligundua kwamba hakuna anayejua chanzo cha shimo na moto huo mkali.

''Kitu kinachoudhi kabisa kuhusu shimo hili ni kwamba hakuna habari ya kutosha kulihusu {huwezi kupata hata baada ya kutembelea taifa hilo'', alisema mtafiti huyo.

"Nilijaribu uwezo wangu wote kutafuta ripoti rasmi au rekodi au iwapo kuna magazeti yaliozungumzia kuhusu suala hilo , lakini hakuna."

Kulingana na wanajiolojia wa Turkimenistan , shimo hilo kubwa lilijitokeza mwaka 1960 na kuaanza kuwaka moto katika miaka ya themanini.
 
Pia kuna madai kwamba moto huo ulitokea kwa bahati mbaya, kama vile kupitia umeme ama iwapo uliwashwa makusudi, anasema Kourounis.

Nadharia nyengine inasema kwamba huenda walichoma gesi hiyo kwa makusudi kwa uchumi na usalama .

Iwapo hiyo ndio ilikuwa lengo lao , kwasababu kawi ni kitu muhimu kwa Usovieti, ripoti kama hizo huenda zikawa siri kubwa, wataalamu wanaamini.
 
Siri ilioko
Mwanahistoria Jeronim Perovic anasema kwamba maajabu ya lango hilo la jehanam ni la kimantiki.

''Ni tafakari ya jinsi mambo yalivyofanyika katika miaka ya Muungano wa uUovieti , ambapo wakati huo ni mafanikio pekee yaliotajwa. Hivyobasi iwapo wakaazi Walifanya makosa fulani , hakuna aliyetaka kujulikana'' , anaelezea BBC.
 
Na kwasababu muungano wa usovieti hauna tatizo la usambazaji wa gesi , kwasababu unazalisha mamilioni ya mapipa ya gesi kila mwaka , inawezekana kwamba suluhu mwafaka ilikuwa kuchoma shimo hilo kama njia mbadala , wataalam wanasema.

Kuchoma mita 15,000 au 16,000 za ujazo kila mwaka , kitu ambacho ni mara nne ambacho Switzerland inatumia kwa mwaka , kwao sio kitu kikubwa.
 
Hivyobasi badala ya kufikiria kuhusu itakavyotumika ama kuweka katika bomba linalotegemea miundo mbinu, waliamua kulichoma shimo hilo', anasema.

Upande mwengine , Stefan Green mtafiti aliyeshiriki katika utafiti uliofanywa na Kourounis anaelezea kwamba gesi ya methane inayotoka bila udhibiti ni wazo baya , hivyobasi inaleta maana kuichoma.

''Ni hatari kwasababu inachomeka , haikai mahali pamoja , la sivyo ingesababisha mlipuko mkubwa'', anasema.
 
Kuna taarifa nyingi kuhusiana na harufu ya mwili ya mtu kisaikolojia na kibaolojia lakini sababu nyingi watu huamua kuzipuuza.

Mfalme Louis XIV, wa Ufaransa France, alikuwa akipenda sana marashi.

Maua yalikuwa ya harufu mbalimbali katika kila chumba, samani na vyenginevyo vilinyunyizwa marashi na pia wageni walinyunyiza marashi kabla ya kuingia kwenye makazi ya kifalme.

Ama ikiwa ni kwasababu usafi wa mtu husika haukuwa katika kiwango alichokitaka kama inavyoweza kuchukuliwa hii leo au pengine alipenda sana kucheza na marashi, kinachoeleweka ni kwamba Louis alipenda sana harufu nzuri.
 
Harufu inaweza kutoa taarifa kuhusu lishe yako,'' amesema Mahmoud Mohamed, mtaalamu wa harufu na mwanasaikolojia katika chuo kikuu cha Macquarie nchini Australia, amesema. "Kuna mkinzano katika baadhi ya tafiti kuhusiana na hili lakini timu yangu imebaini kuwa kadiri unavyoendelea kula nyama nyingi ndivyo inavyoendelea kutoa harufu nzuri kwa miili yetu."
 
Matokeo ya Utafiti
Kulingana na utafiti uliofanywa na Mahmoud na timu yake, wanaume huona harufu ya miili ya wanawake inakuwa nzuri zaidi na kuvutia wakati wa kipindi chao cha hedhi hadi mayai yanapokuwa tayari.

Harufu yao inakuwa haipendezi wakiwa kwenye hedhi ikilinganishwa na kipindi mayai yako tayari. Huenda ilikuwa muhimu kwa mababu zetu kujua kipindi ambacho mwanamke ana uwezo mkubwa wa kuzaliana.
 
Aidha, kiwango cha homoni za testosterone cha wanaume pia huenda kiliongezea harufu

Na wakati harufu inaweza kubadilika kutegemea na lishe na afya ya mtu kikubwa kinachofanya harufu yetu kuwa ya pekee ni jeni au chembe za urithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…