Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila mmoja ana harufu yake ya mwili, huku mwanadamu akipewa uwezo mzuri mzuri wa kunusa harufu.

"Hili ni muhimu kwasababu inaonesha kuwa chembe za urithi zina ushawishi fulani katika namna tunavyonusa", amesema Agnieszka Sorokowska, mwanasaikolojia na mtaalamu wa masuala ya kunusa katika chuo kikuu cha Wroclaw nchini Poland, "kwahiyo, tunaweza kupata taarifa fulani za jenetiki kuhusu watu wengine kwa kuwanusa."
 
Gharama ya 'Kunukia'
Mwanadamu hutumia madola ya mabilioni kununua marashi katika jaribio la kubadilisha harufu yake halisi ya mwili.

Sorokovska na wafanyakazi wenzake wameonesha kuwa inawezekana kutathmini ya haiba ya mtu kulingana na aina ya marashi aliyochagua.

Na pia kuna uwezekano wageni wa Mfalme Louis XIV huenda walijifunza kitu kumhusu mfalme kwa kunusa tu harufu ya marashi wakati wanaingia.
 
Kwahiyo, mwanadamu hutumia taarifa za chembe za urithi zilizojificha katika harufu ya mtu kumchagua mpenzi wake? Hapana.

Kulingana na utafiti uliofanywa kwa karibu wachumba 3,7000, kuna uwezekano mkubwa watu wenye harufu mbili tofauti kabisa wakaoana. Tunaweza kuwa tunapenda harufu fulani lakini watu hawategemei harufi wakati wa kumchagua mwenza wako.
 
Kilichobainika mwisho ni kuwa, ikiwa unataka mwenza mwenye chembe za urithi nzuri, basi unachotakiwa kufanya ni kuwa makini na harufu zao za mwili,'' Sorokovska alisema. '' Lakini kwa watu wengi, hicho sio cha msingi tena na wengi hawakizingatii."
 
Yaani mto unatiririka mabikra au ukienda kuoga kwenye huo mto bikra yako inarudi? [emoji16][emoji16][emoji16]

Kwema lakini huko kwako bro? Muda kidogo hatujasalimiana.
Hahaha hakuna bro,dah hiyo tafsiri yako bro


Huku kwema Kaka, hatujambo kabsa, hope ni mzima hapo ulipo,,huwa tunapishana tu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…